Dalili 15 za Nguvu za giza wakati wa Maombezi

 


UKIONA hivi fahamu kwamba kuna nguvu nyingine imekuzuia ambayo ipo kinyume na Roho mtakatifu,kwa mfano 

1. Mikono kuwasha ni dalili ya kufungwa uchumi 

2. Kidole cha pete peke yake kuwaka moto au kuhisi kama kuna petr wakati wa maombi ni alama ya kuvalishwa pete na Jini mahaba au pete yoyote ya kichawi 

3. Kusikia maumivu yoyote 

4. Kuhisi ubaridi ni dalili ya nguvu ya Roho mtakatifu kupitia hiyo sehemu au mwili mzima 

5. Kupiga miayo ni dalili ya roho ya uzito 

6. Kuwasha miguu na kufa ganzi ni kukamatwa hatua kwenye uchumi,ndoa,uzao n.k

7. Kukojoa wakati wa maombi ni Dalili ya kufunguliwa SEHEMU za siri au mfumo wa mkojo 

8. Kutapika ni kutolewa Nguvu za kichawi ambazo walikufunga kupitia chakula cha kichawi kwenye ndoto au kawaida 

9. Kifua kubana ni alama ya kufungwa pia wakat wa maombi 

10. Kutema mate wakat wa maombezi pia ni ishara ya kufungwa 

11. Kutoka jasho pia 

12. Hofu isiyo na sababu wakat wa maombezi ni mapepo yanapanda hiyo kitu 

13. Kutamani kukimbia wakat maombezi yanaendelea 

14. Kutetemeka isiyo ya kawaida ni alama ya kwamba kuna nguvu chafu ambazo Roho WA MUNGU anazishughulikia


*Na zingine nyingi*


Mambo haya yanapotokea hakikisha huzuii huduma 

Kuna dada niliwah kumuombea kwenye simu na alipo fikia hatua ya kutapika akaanza kulalamika kwamba anataka kutapika nikate simu na mm nikamwambia huyo ni Roho mtakatifu anafanya kwahyo acha kujizuia 

Alinikatia simu na dada huyo alikuwa anaelekea kufukuzwa kazi na hajawahi kunifatta tena na wala sio mmoja,Hii ni ndio maana Ya HOSEA 4;6

Mungu atusaidie

Post a Comment

Previous Post Next Post