WATU WA MUNGU NAWAPENDA SANA NA LEO KILA MTU AJITATHMNI KATIKA HAYA MASWALI HAPA UTAONGEZA NA MENGINE*
Hivi umeshawahi kuomba toba kwa ajili ya mahusiano uliyonayo na mwenza wako??
Ushawahi kuomba toba kwa ajili ya anguko lako?? Vizuizi au vizingiti vya maisha yako
Ushawahi kuomba Toba kwa ajili ya umwagaji damu kwa kutoa mimba, kusababisha mtu mwingine kumwaga damu kwa kujua au kutojua??
Ushawahi omba toba kwa ajili ya familia zetu??
Ushawahi omba tooba kwa ajili ya ukoo wako yaani chimbuko la kizazi chako huko ndiyo kwenye connection ya mizimu na maagano ya kuharibu historia yako
Ushawahi kuomba toba juu ya ardhi uliyizaliwa, unayoishi na kufanyia shighuli zako kwani ndio 75%ya maisha yako ilipo??
Ushawahi omba toba kwa ajili ya eneo ambalo mlikutanana??
Ushawahi omba toba kwa ajili ya mahusiano uliyoharibu au kuharibiwa kwa kujua au kutojua??
Ushwahi omba toba kwa ajili ya Watoto wako??
Eneo ambalo lilisababisha ukapata huo ujauzito?
Mungu kakushirikisha uumbaji je umepata katika njia sahihi na yenye Usafi na Usalama? Au ulikunywa midawa na mizizi ambayo hujui maagano yake na kuharibu Ulinzi wa mtoto wako ambao Mwenyezi Mungu alikushirikisha ukamtegemea mwanadamu??
Ulishawahi kuomba toba sehem ambayo kitovu cha mwanao kilizikwa na tambiko lililofanyika hapo kwa kujua au kutojua??
Unaomba toba juu ya uzao wako na ardhi wanayokanyaga???
Ulishaomba toba kwa ajili ya kumwahidi Mungu utamtolea kias fulani cha sadaka juu ya mafanikio fulani halaf ukifanikiwa kutoa ile sadaka unaona kubwa mnoooo (Omba toba kwa uongo)
Ushawahi kuomba toba kwa ajili ya kusikia sauti ya Mungu na kuipuuza ukaendelea na mambo yako ila ukikwama unamkumbuka ??
Ulishawahi kuomba toba kwa ajili ya kujihesabia haki ?? yaani unakuwa umekosea halaf unaona unastahili kukosea kwa sabab unazojua wewe my friend Acha kujihesabia haki kwa Mwenyezi Mungu jiachie omba toba.........
Ulishawahi kuomba toba kwa ajili ya wasaidizi wako wa nyumbani ofsin, majumbani , shambani na popote pale kwani ndio wamebeba hatma yako chochote wanaweza kukufanyia?? Omba toba kwa ajili yao, waombee baraka na wewe ufunguliwr baraka zako??
Ulishawahi kuomba toba kwa ajili ya walimu na Viongozi mbalimbali wawe wa kijamii, kiroho au hata katika nyanza zako za maisha( Omba toba kwa ajili ya Connection sahihihi katika kila Jambo unalofanya)
Mtu wa Mungu mambo ni mengi sana na muda ni mchache mnoooo
*BARIKIWA NA SIKU NJEMA*
*