MAOMBI YA KUJITENGA NA MISIKITI YA SHETANI



MAOMBI YA KUJITENGA NA WAKUU WA MISIKITI YA SHETANI 

Baba katika Jina la Yesu Nakushukuru kwa neema, Rehema na upendo wako ,Ninaomba toba na msamaha Bwana wangu Kwa maana nimetenda dhambi,Ninaomba Rehema juu ya dhambi zote kutoka kwa Baba zangu kwenye ukoo ,Takasa dhambi zote ili niwe safi kama theluji Bwana wangu 

Nakataa maagano yoyote na misikiti duniani, kila sadaka wanazotoa ZIWE BATILI juu YANGU kwa Damu ya Yesu 

Nakataa laana na mikosi waliyotamka kwenye madhabahu zao, Nafuta kwa Damu ya Yesu matamko yao yote Kwa Jina la Yesu 

Kifungo chochote ktk misikiti kifunguke Sasa,Nakuamuru mkuu wa msikiti na majini achia nafsi yangu Kwa Jina la Yesu 

Natuma moto kwa mkuu wa misikiti, ninaharibu hiyo madhabahu na kumdhoofisha,nakataa kufungwa kwa hatima yangu 

Acha elimu yangu Kwa Jina LA Yesu,Kila anayezuia elimu akutane na radi kutoka mbinguni apigwe vibaya sana 

Damu Ya Yesu inene mwisho wa vifungo kwenye nafsi yangu,kila majini mliokaa kichwani toka kwa Jina la Yesu 

Kila majini kwenye miguu na mikono tokaa Kwa Jina la Yesu,naachilia Damu ya Yesu nakomboa mwili wote ,nafsi NA roho 

Damu Ya YESU iwe mijeledi kwenye misikiti yote inayonitesa , Majini mpokee mapigo makuu ya Bwana wa majeshi 

Natapisha Nguvu zenu kwa Damu ya Yesu,Nawaloweka ktk tanuru la moto wa Roho mtakatifu 

Mkuu wa misikiti nakupiga kwa radi ya Bwana wa majeshi 

Baba yangu wa mbinguni Ninakuomba agiza malaika WAKO anitangulie na kila majini yapigwe kwa upanga wa mauti 

Upanga wa kristo Kwa wakuu wa misikiti,watapike uovu wao Kwa Jina la Yesu ,waachie nafsi yangu Sasa kwa Jina la Yesu 

Malaika Mikael akaachilie utiiishi Kwa majini saba na mkuu wao atoke ndani yangu na kuangamia Kwa mamlaka ya jina la Yesu kristo 

Nakataa UHARIBIFU na mauti yoyote Kwa Jina la Yesu,nakataa majini na wakuu wao , natuma moto mkali wa Roho mtakatifu 

Baba yangu wa mbinguni ninaomba agiza malaika wako wa vita washuke na kunipa ulinzi huku wakinitangulia njiani kuondoa vizuizi vya elimu 

Jeshi la malaika likawapige vibaya wakuu wa majini katika misikiti yote inayonifatilia 

Wakuu wa misikiti waliokamata ufahamu wangu wateketee Kwa moto wa Roho mtakatifu,achilia jeshi lako la malaika likaharibu silaha zao na nguvu zao 

Ninatamka UREJESHO wa kitovu changu,na malaika wa urejesho wakapige majini wote walioapa agano la mauti kunifunga ili warudishe vyote ambavyo wameiba Kwa Jina la Yesu 

Naachilia Damu ya Yesu kila upande nikiharibu vikao vya kichaw kila wanapokaa kunijadili

Nafuta UTAMBULISHO wowote walionipa majini ktk ulimwengu wa roho,najitenga na hizo roho Kwa Jina la Yesu, nakataa vyote walivyonivisha ili kunifunga Kwa Jina la Yesu 

Navua pete zao,mavazi yao na kila kitu,nakataa roho ya hasira na kibuli kwa Jina la Yesu 

Nafunga milango yote ya uvamizi Kwa Damu ya Yesu kristo 

MadhabahuYAbibliatimes 

Whatsapp 0627945434

Post a Comment

Previous Post Next Post