SALA KABLA YA KUSIKILIZA SEMINA ZA BIBLIATIMES

 


SALA KABLA YA KUSIKILIZA SEMINA


Baba katika Jina la Yesu, Ninakushukuru kwa uzuri wa utakatifu wako,Ninatubu dhambi zangu nikiomba kutakaswa Kwa Damu yako


Nioshe ufahamu wangu ili nikaelewe neno lako ,Mimi mwenyewe siwez Ninaomba Roho Mtakatifu unitawale na KUNIFUNDISHA zaidi


Nakataa kuzuiliwa kwa Jina la Yesu,Kila upinzani wa kusikiliza semina hii kamwe usipate nafasi 


Ufahamu na moyo wangu navitakasa kwa Damu ya Yesu na viwe tayari kujifunza na kuelewa neno lako 


Niongoze Roho Mtakatifu unipe ufunuo na kuelewa unachokisema 


Nipe nguvu ya kujifunza kuanzia mwanzo hadi mwisho na nisibaki kama nilivyo 


Ahsante Yesu

Post a Comment

Previous Post Next Post