21 DAYS SPEAKING IN TONGUE
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
Siku 21 za kunena Kwa lugha dakika 30 kila siku (Tunaanza na dakika chache kisha next time itakuwa zaidi)
Mwaka 2024 unaanza na kuexercise spirit,Kuhakikisha kuwa spiritual energy inapanda kwa kunena Kwa lugha
Lakini pia usisahau Kunena Kwa lugha inaongeza clearity Ya ndoto Yaan unaota ndoto na kuikumbuka kama ilivyo
Kusharpen maono pamoja na kufungua masikio na macho yetu ya rohoni
TAARIFA RASMI TUTANGAZA HAPA HAPA
Join Whatsapp group
https://chat.whatsapp.com/HhNdFEEKjtXL1qNvbDMHN6
Tags:
ROHO MTAKATIFU