DAY 02: MFUNGO WA SIKU 7 KAVU✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
NENO LA MFUNGO : wafilipi 4:13
✅✅✅✅✅✅
*Ezra 8:23*
Basi tukafunga, tukamsihi Mungu wetu kwa ajili ya hayo; naye akatutakabali.
Ezra na wenzake wanaingia katika Mfungo maalumu Kwa ajili ya haja zao katika safari ya kutoka babeli kwenda Israel
Kwenye maisha yetu pia tuna haja mbali mbali ambazo kama Ezra ktk roho aliona njia ya kupata walichotaka ni Kufunga basi MFUNGO huachilia kibali
*Kuna jambo unapitia na hujui unatoka vipi?*
Jibu lake ni kuingia katika maombi ya kufunga, Biblia inasema kwamba baada ya Ezra na wenzake kufunga Mungu akawatakabali na kuwalinda katika safari yao yote
Pengine unahitaji kufahamu Kama huyo Mwanaume au mwanamke ni sahihi kwako- ingia kwenye mfungo
*MAOMBI DAY 02*
✝️ Anza na Toba & Rozary ya huruma ya Mungu
✝️ Chochote kinachonizuia nisifike ktk hatima yangu Leo ninakivunja Kwa Jina la Yesu
✝️EE Bwana Yesu naomba neema ya kibali leo ili kufikia milki zangu kwa Jina Yesu
✝️Nakataa maagano Yoyote ya giza yanayonizuia nisifike kwenye hatima yangu, vunjika na Toka kwa Damu ya Yesu
✝️ Nguvu zozote za giza ziniachie sasa kwa Jina la Yesu
✝️Baba naomba neema zako zinifunike,Takasa nafsi yangu,NIPATE Nguvu ya kushinda Dhambi zetu kwa Roho wako
✝️Naomba kiu ya kusoma neno,kuomba na kufunga kila mara (Zakaria 12:10)
RUDIA MAOMBI HAYA KATIKA UTULIVU
Tags:
MAFUNGA