Day 04: Maombi na kufunga kwa siku 7 kavu || Frank Bwenge

 


*DAY 04: KUFUNGA NA KUOMBA SIKU SABA KAVU*

✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️

Yoeli 2:12
[12]Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea;

♾️♾️♾️♾️♾️♾️♾️

Mfungo ni njia ya kuamini kwamba wewe mwenyewe huwezi

Kuomba na kufunga ni kunyenyekea Kwa Bwana, Unyenyekevu wako kwa Bwana unaweza kupimwa Kwa kujitoa kupitia mfungo

Je umekuwa unaishi maisha machafu na unataka kurudi kwa Mungu ? Basi kujiunga na kuomba ni njia Bora zaidi

*MAOMBI*
✝️Anza na Toba
✝️ Roho mtakatifu kwa nguvu zangu siwez naomba unijaze nguvu niweze KUFUNGA
✝️kila kizuizi cha kufunga kiniachie kwa Jina la Yesu
✝️Bwana naomb neema ya kunyenyekea kwako
✝️Baba niongezee Imani

MadhabahuYAbibliatimes
Whatsapp 0627945434

Post a Comment

Previous Post Next Post