*DAY 05: MAOMBI NA KUFUNGA SIKU SABA KAVU*
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️Matendo ya Mitume 13:2
[2]Basi hawa walipokuwa wakimfanyia Bwana ibada na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Nitengeeni Barnaba na Sauli kwa kazi ile niliyowaitia.
♾️♾️♾️♾️♾️♾️♾️♾️
Unataka kusikia Roho mtakatifu anasema Nini?
Basi kuwa mtu wa mfungo Ili Roho mtakatifu akutawale maana mwili na Roho hushindani na njia rahisi ya Roho kushinda vita hii unaamua wewe mwanadamu kwa kufunga
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Hautamsikia Mungu kama chakula ni kipaumbele rafiki labda kupitia ndoto ambazo kuna muda utatakiwa kusikia kutoka kwa Roho mtakatifu kujua tafsiri ya ndoto (wanadamu sio wakamilifu lkn Roho mtakatifu hakosei)
🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐
*MAOMBI*
✝️ Toba
🛐EE Roho mtakatifu nipe nguvu mpya za kufunga
🛐Fungua macho na MASIKIO yangu ya rohoni ee BWANA ili nipate kupambanua Sauti Yako
✝️Shusha karama zako Ee Bwana Ili nitumike katika kanisa lako ktk Jina la Yesu (1 kor 12:8-10)
✝️Nipe nguvu ya kushinda dhambi EE Bwana na moyo wa Toba
Kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho mtakatifu
Amina
Tags:
MAFUNGA