Day 07: Maombi na kufunga siku 7 kavu || Frank Bwenge

 



*DAY 06: MAOMBI NA KUFUNGA SABA KAVU*


✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️

Esta 4:16

Uende ukawakusanye Wayahudi wote waliopo hapa Shushani, mkafunge kwa ajili yangu; msile wala kunywa muda wa siku tatu, usiku wala mchana, nami na wajakazi wangu tutafunga vile vile; kisha nitaingia kwa mfalme, kinyume cha sheria; nami nikiangamia, na niangamie.

HUU ULIKUWA MFUNGO WA SIKU TATU KAVU

Na Lengo lilikuwa esther apate kibali kwa mfalme

*Je unahitaji kibali kwenye kazi,uchumi,kwa mmeo au mkeo etc?*

Ingia kwenye mfungo mpendwa

*MAOMBI*

✝️TOBA
✝️EE Bwana Yesu achilia neema ya kibali kwenye maisha yangu(kwenye maeneo haya..........YATAJE)


MadhabahuYAbibliatimes
0627945434

Post a Comment

Previous Post Next Post