Njia rahisi ya kushindana na muovu shetani ni kuwa na maarifa maana asiye na maarifa ni mateka wa shetani (Isaya 5:13)
Isaya 5:13a
[13]Kwa sababu hiyo watu wangu wamechukuliwa mateka, kwa kukosa kuwa na maarifa;
Yoyote anayepitia ugumu wowote ni mateka wa hilo tatizo na asili ya matatizo na uovu ni shetani
Hatukuumbwa kuteseka lakini tunapokosa maarifa hakika adui anatumia fursa hiyo kutuangamiza Hosea 4:6
Hiki ni kitabu ambacho nimepata neema ya kuandika mambo muhimu sana Kwa uwezo wa ROHO MTAKATIFU ambayo yamewafanya watu wengi kuwa mateka na nini wafanye kutoka huko
UnASUMBULIWA na Magonjwa, uchumi umeyumba,huna kazi,watoto wanasumbua,una madeni kila mahali? Basi kuna maarifa umekosa na hiki kitabu ni kwaajili yako
Huu ni ufunguo wa kiroho
Whatsapp 0627945434
#ufunguowakiroho #bihliatimes
Hongera mtumishi
ReplyDelete