Kama Unataka kudumisha Uponyaji wako Mtoto wa Mungu hakikisha unafata utaratibu huu
A. Kumbuka kushukuru ni kurudisha utukufu Kwa Mungu
Zaburi 50:23
[23]Atoaye dhabihu za kushukuru,
Ndiye anayenitukuza.
Naye autengenezaye mwenendo wake,
Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
KWENYE wakoma kumi alirudi mmoja usiwe kama wale Tisa maana wqle tisa Nina uhakika Shetan hakuwaacha salama
Luka 17:12-15,17-18
[12]Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali,
And as he entered into a certain village, there met him ten men that were lepers, which stood afar off:
[13]wakapaza sauti wakisema, Ee Yesu, Bwana mkubwa, uturehemu!
And they lifted up their voices, and said, Jesus, Master, have mercy on us.
[14]Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.
And when he saw them, he said unto them, Go shew yourselves unto the priests. And it came to pass, that, as they went, they were cleansed.
[15]Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu;
And one of them, when he saw that he was healed, turned back, and with a loud voice glorified God,
[17]Yesu akajibu, akanena, Hawakutakaswa wote kumi? Wale kenda wa wapi?
And Jesus answering said, Were there not ten cleansed? but where are the nine?
[18]Je! Hawakuonekana waliorudi kumpa Mungu utukufu ila mgeni huyu?
There are not found that returned to give glory to God, save this stranger.
Mungu akubariki sana