*MADHABAHU YA BIBLIATIMES*
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
MAOMBI NA MFUNGO
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
*DAY 02:* KUOMBEA DUNIA KINYUME NA ZINAA
*NENO:* 1 Kor 6:18-20
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenU
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
*MAOMBI*
1. Mungu wangu nakushukuru kwa uzima na yote unayonijalia
2. Ninaomba rehema kwa kuanguka ktk ZINAA na ninaitubia dunia nzima ,Damu yako itutakase Bwana
3. Tusamehe maana tumetenda Dhambi Bwana
(Sali Rozary ya huruma ya Mungu)
Mwl Frank Bwenge
0627945434