Day 06 : MAOMBI kuhusu ndoa

 *MADHABAHU YA BIBLIATIMES*


✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️


*MFUNGO NA MAOMBI SIKU YA 40*


✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️


*DAY 6:* KUOMBEA NDOA ILIYOPO TAYARI AU IJAYO


*NENO LA MUNGU* Ebr 13:4 SUV


Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.


NDOA NI AGANO na moja kati Ya kitu Ambacho shetani anahakikishia kinaharinika Ili kuharibi kizazi hiki ni ndoa 


Anajua kuna hatima za watu zimefungamana na ndoa lkn pia ktk ndoa ndipo palipo na MATENGENEZO 


Tafadhali jitahidi sana usiwe sababu ya kuvunja ndoa za watu,usitembee na mke au mme wa mtu maana utakuwa unatumika na Shetan 


Kama upo katika ndoa au unategemea ni lazima uiombee Ili adui na mawakala wake wasipate nafasi 


*MAOMBI*


1. Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mungu wa REHEMA ninakushukuru na ninaomba rehema zako leo 

2. Ninaombea ndoa Yangu adui asipate nafasi kamwe ktk Jina la Yesu 

3. Kila roho za giza na mawakala wa udanganyifu nawapiga upofu kwenye ndoa yangu 

4. Nakaataa kuingia katika ndoa ambayo sio kusudi langu ktk Jina la Yesu 

5. Nakemea kila Jina manaba mwenye Lengo la kuharibu ndoa au kuzuia nisiwe na ndoa Kwa jina la Yesu x3

6. Nakataa kurithi UHARIBIFU kwenye ndoa katika Jina la Yesu 

7. Nafungua mlango wa ndoa takatifu ktk Jina la Yesu x2

8. Mungu nipe hekima Yako katika maamuzi kwenye ndoa na jinsi ya kuwalea Watoto 

9. Ninaomba ulinzi wa wanadamu na familia yote adui asituharibu Kwa maneno Na mauizo ya kichawi 



(Ongeza maombi Yako binafsi)


Mwl Frank Bwenge 

Whatsapp 0627945434



Post a Comment

Previous Post Next Post