*MADHABAHU YA BIBLIATIMES*
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
*MAOMBI NA MFUNGO
♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️
*DAY 7:* OMBA KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU
*ANDIKO TAKATIFU* : 1 Wakorintho 14:1
Ufuateni upendo, na kutaka sana karama za rohoni, lakini zaidi kwamba mpate kuhutubu.
*Kutamani karama za Roho Mtakatifu ni jambo jema*
Kila Mwanadamu amepewa karama na vipawa ili kumsaidia ktk kanisa na maisha ya kila siku
Karama ni kwaajili ya kufaidiana hasa katika kanisa, na ili karama zifanye kazi ni lazima UJAZWE ROHO MTAKATIFU
UNAWEZA ukawa na Karama fulani na usijue kama Hujajazwa na Roho Mtakatifu
*MAOMBI*
1. Baba ktk Jina la Yesu ninakushukuru,ninaomba rehema na unisafishe mm mkosefu Kwa Dhambi zangu
2. Ninaomba leo neema ya kujazwa Roho Mtakatifu x3
3. Natamani karama zako Roho Mtakatifu zifanye kazi ndani yangu
4. Nafunika karama na vipawa Kwa damu ya Yesu kamwe adui asipate nafasi x3
(ONGEZA maombi Yako)
Mwl Frank Bwenge