*MADHABAHU YA BIBLIATIMES*
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
*MAOMBI NA MFUNGO
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
*DAY 8*: KUOMBA KWAAJILI WATENDAKAZI WA BWANA
*ANDIKO TAKATIFU* :Lk 10:2 SUV
Akawaambia, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache; basi mwombeni Bwana wa mavuno apeleke watenda kazi katika mavuno yake.
♨️♨️♨️♨️♨️♨️
MAVUNO ni watu wanaopaswa kupokea injili na kuijua kweli na kumfuata Yesu
Lakini pia hata matatizo ni mengi sana kama vile magonjwa,kuonewa na adui, vifungo,ujinga,Imani potofu n.k
Watendakazi ktk shamba la Bwana ni watumishi wa Mungu
*MAOMBI*
1. MSHUKURU MUNGU kwa watumishi wa Mungu alioinua
2. Muombee kiongozi wa kiroho kwenye kanisa au parokia uliyopo
3. Omba Mungu watu watamani kujazwa Roho Mtakatifu Ili watumike vyema shambani kwa Bwana
4. Omba kinyume na mipango ya wa kuzimu ya kuangusha watumishi
5. Omba kinyume na mawakala wanaoiba karama za watu kwaajili ya kuzitumia kudanganya watu
6. Ombea karama Yako na huduma Mungu aliyokupa
Ongeza maombi Yako
MadhabahuYAbibliatimes
SADAKA KWA AJILI YA KUINJILISHA KUPITIA MITANDAO YA JAMII
MPESA LIPA NAMBA 5781599
*Ubarikiwe Sana*