Day 12: KUNG'OA milima ya adui na KUFUNIKA MABONDE

 ♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️


*MADHABAHUYABIBLIATIMES*

♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️

*MAOMBI NA MFUNGO*


✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️


*DAY 12;* *KUNG'OA MILIMA YA ADUI NA KUFUNIKA MABONDE 2025*


*NENO LA MUNGU* Zaburi 23:4

[4]Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, 

Sitaogopa mabaya; 

Kwa maana Wewe upo pamoja nami, 

Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. 


✝️👇

Yeremia 1:10

[10]angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kung’oa, na kubomoa, na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda. 


♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️


Haijalishi adui amejipanga vipi lakini kama Bwana Yu pamoja nami mwaka huu utukufu wa Bwana unaenda kujifunua


Adui huweka milima kwenye maisha ya watu ili wachoke na kukata tamaa na kuwazuia kabisa lkn Yesu hukomboa 


*MAOMBI*


1. BABA NINAKUSHUKURU na ninaomba rehema zako Na unitakase Kwa Damu ya Yesu 

2. Nina haribu kila nguvu ya kichawi inayofatilia maisha yangu x2

3. Ninang'oa kila milima iliyopandwa kunizuia biashara,uchumi,ndoa na ugumu wa kwenda kanisan piax2

4. Ninafunika kila mabonde Kwa damu ya Yesu na kamwe sitakamatwa na mitego ya adui Kwa Jina la Yesu x3 

5. Naibariki 2025 na kila milima na mabonde nayafuta Kwa damu ya Yesu 


Ahsante Yesu wangu


*Kwa jina la Baba, mwana na Roho Mtakatifu*


Mwl Frank Bwenge 

wa.me//255627945434




Post a Comment

Previous Post Next Post