*MADHABAHU YA BIBLIATIMES*
✝️✝️✝️✝️✝️✝️
*MAOMBI NA MFUNGO*
✝️✝️✝️✝️✝️✝️
*DAY 13:* KUFUTA MICHORO YOTE YQ ADUI 2025
*NENO LA MUNGU* : 2 Wakorintho 2:11 BHN
ili tusimpe nafasi Shetani atudanganye; maana twaijua mipango yake ilivyo.
✝️✝️✝️✝️✝️
wakti wewe una mipango na maisha yako shetani na yeye anachora michoro na mipango ya kuzuia mipango yako
Lengo kubwa ni kuomba kuharibu na kuchinja ..
Tutaenda kuomba kinyume na kila mchoro kwenye uchumi,afya,uzao,huduma,ajira n.k
Tunaenda kufuta kile shetani amechora pengine ajali mbaya au anguko la uchumi au chochote kile
*MAOMBI*
1. Baba katika Jina la Yesu ninakushukuru kwa yote na ninaomba rehema Kwa dhambi zangu na uovu wa wahenga walionitangulia
2. Ninamkataa Shetan na mipango yake miovu juu yangu na maisha yangu na familia na watu wa taifa la Mungu x2
3. Ninafuta Kwa Damu ya Yesu kila mpango wa uovu kwenye maisha yangu,Nakataa ulaji kwenye uchumi wangu,ndoa yangu,uzao wangu .... X3
4. Ninafuta kwa DAMU YA YESU kila michoro ya kuharibu maisha yangu katika Jina la Yesu mwaka huu 2025 x3
5. Ninaktaa mauti ya kila aina juu yangu Kwa mwaka 2025 ,Naharibu hiyo mauti Kwa Damu ya Yesu na moto wa Roho Mtakatifu x2
6. Nakataa anguko lolote Kwa mwaka 2025 na ninatamka huu kuwa mwaka wa UTUKUFU kwangu Ili Mungu ajitukuze kupitia Mimi x5
(ONGEZA MAOMBI YAKO )
_Jifunike na Damu ya Yesu na moto kila mwisho wa maombi haya na haribu kila silaha za adui na funga roho za malipizi Kwa Jina la Yesu_
*KWA jina la Baba,Mwana na Roho Mtakatifu*