*MADHABAHU YA BIBLIATIMES*
♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️
*MAOMBI NA MFUNGO*
♨️♨️♨️♨️♨️♨️
*DAY 14:* *TOBA KWAAJILI YA KANISA*
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
*NENO LA MUNGU*Matendo ya Mitume 3:19
[19]Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;
*NB* : kanisa si jengo kanisa ni jumuiya ya watu wanaomuamini Mungu kwa njia ya Bwana Yesu
*MAOMBI*
1. TUNAOMBA REHEMA KWAAJILI YA KANISA LAKO KWA UOVU WOWOTE
2. WASAMEHE VIONGOZI WA KANISA LAKO EE BWANA KWA MACHUKIZO YOYOTE
3. ROHO MTAKATIFU USIKAE KIMYA KATIKA KANISA
4. TUNAACHILIA DAMU YA YESU JUU YA KANISA LAKO KAKO NA KUJITAKASA ARDHI PAMOJA NA ANGA
Mwl Frank Bwenge
0627945434
Tags:
MAFUNGA