SEHEMU YA TATU
HAKUNA
UGONJWA USIOPONYWA
Ni
kweli dunia na jamii inatengenisha magonjwa lakini katika biblia YESU alitupa
mamlaka kinyume na kila ugonjwa bila kujali jina lake
Biblia
inaposema kwa kupigwa kwake sisi tumepona haikusema kubwa tumepona baadhi ya
magonjwa tu
Yesu
katika huduma yake aliponywa magonjwa yote na udhaifu wote
Mathayo 9:35 “Naye Yesu alikuwa akizunguka katika miji
yote na vijiji, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri habari njema ya
ufalme, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.’’
Hakukuwa
na ugonjwa ambao ulikuwa mkubwa mbele za Yesu na kama unafikiri ni Yesu tu
ambaye anaweza kufanya hayo lazima ufahamu kuwa mamlaka yake yote alilipa
kanisa
Hivyo
basi alichofanya Yesu miaka 2000 iliyopita mimi na wewe tunaweza kufanya ikiwa
tutamuamini tu
Yohana 14:12 “Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye
mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo
atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.’’
Sasa
ukiwa ni mgonjwa ni lazima ujue kuwa hupaswi kuangalia nini watu wanasema
kuhusu UKUBWA WA UGONJWA
Hupaswi
kuamini kile kinasema na dunia bali kile Mungu anasema katika neno lake
Popote
pale ambapo utaacha kuamini neno la MUNGU na kuamini dunia basi ulichofanya ni
KUTOKUAMINI na yeyote ambaye hataamini kupona hawezi kupona
Kinachomponya
mtu ni IMANI yake ambayo inatokana na kweli anayoijua
Kwa
Mfano kama utakataa mafundisho haya maana yake umekataa Imani ya kweli na
uponyaji pia
Marko
5:34 “Akamwambia, Binti, imani yako imekuponya, enenda zako kwa amani, uwe
mzima, usiwe na msiba wako tena.’’
Kuamini
UKIMWI na magonjwa mengine hayaponi
Kutokana
na dunia kusambaza Imani ya kwamba UKIMWI huwezi kupona,hii imekuwa sababu ya
watu wengi kufa na hofu kwa kutokuamini kwao kuwa wanaweza kupona
Hakuna
ugonjwa hata mmoja ambao Mungu hawezi kumponya mtu lakini ili upone ni lazima
utoe wazo la kwamba ugonjwa huo ni mkubwa sana
Kuamini
kwamba unaweza kupona UKIMWI ni kupona
Mambo
ya kiroho hayasikilizi nini dunia inasema bali mbingu
Kama
unataka kupona ugonjwa wowote ni lazima usiuone kama tishio ,hupaswi kuuona huo
ugonjwa mkubwa sana kama unataka kupona
Siku
ambayo utagundua ugonjwa Fulani sio mkubwa ukilinganisha na nguvu za Mungu ni
siku ambayo utapona
Tatizo
lolote ambalo unaona kwamba hutalishinda huwezi kulishinda kwasababu ya
kutokuamini
Kuna
watu wameyafanya magonjwa makubwa kwenye maisha yao kwasababu wamekuwa watu
wakulalamika wakikiri kuwa watakufa tu ,hawawezi kupona na maneno mengine
ambayo yanashusha Imani na kukuza matatizo
IMANI
sio kukiri kwamba unateseka bali kukiri ukuu wa Mungu bila kujali mazingira
unapitia
Utaushinda
huo ugonjwa siku ambayo utasahau report ya daktari na kushikiria neno la Mungu
linachosema kuwa wewe umepona
Acha
kuona unavyokufa ,anza kuona unavyoishi na kusimulia matendo makuu ya Bwana
UKIMWI
unapona
Na
hakuna ugonjwa ambao huwezi kupona
IMANI
yako ndio itakuponya na sio madawa ya wanasayansi
Huna
haja ya kuomba zije dawa za UKIMWI, hazitakuja maana huo ni mpango wa shetani
bali amini kuwa UKIMWI ni kitu kidogo na kwa kupigwa kwako Yesu ,UKIMWI
ulishindwa
Anza
kukiri ushindi zidi ya ugonjwa huo
Acha
kulia lia na kumlalamikia Mungu kwamba amekupa magonjwa wakati shetani
anakucheka ,inuka kwa nguvu ya Imani ukikataa KUUMWA
