Day 15: Maombi Ya Toba kwaajili watoto


 *MADHABAHU YA BIBLIATIMES*


✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️


*2025 MWAKA WA UTUKUFU*


✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️


*MAOMBI NA MFUNGO*


KUOMBEA WATOTO TOBA 


*NENO LA MUNGU:* Ayubu 1:5

[5]Basi ilikuwa, hapo hizo siku za karamu zao zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma kwao akawatakasa, kisha akaamka asubuhi na mapema, na kusongeza sadaka za kuteketezwa kama hesabu yao wote ilivyokuwa; kwani Ayubu alisema, *Yumkini kwamba hawa wanangu wamefanya dhambi, na kumkufuru Mungu mioyoni mwao. Ndivyo alivyofanya Ayubu sikuzote*


Ni jambo jema sana kama utaanza utaratibu wa kutolea sadaka watoto wako 


Lkn Leo nataka nikuambie wazi kuwa kuna uwezekano mkubwa ukaona watoto wako wana tabia nzuri lkn kumbe ndani Yao kuna shida kati yao na Mungu 


Hivyo ni vyema kutubu kwaajili ya Watoto wetu 


*MAOMBI*


1. BABA katika Jina la Yesu, ninashukur na ninaomba toba na msamaha,unioshe Kwa damu Yako takatifu 

2. Ninaomba Toba kwaajili ya watoto wangu wote pale walipokukosea Baba yangu naomba msamaha 

3. Ninaomba rehema pia kwaajili ya watoto wengine,mashuleni,Njia panda na zingine kamwe zisitumike kuwanasa hatima zao

4. Watakase fahamu na mioyo yao ili waishi maisha ya kukupendeza 



*Kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu*


♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️

Post a Comment

Previous Post Next Post