Jifunze kabla hujampa mtoto Jina ?

 

Katika Biblia utaona wazi Mungu akibadilisha majina ya watu 

Mungu hafanyi mambo Kwa kubahatisha, kuna Maana kubwa sana ktk majina haya 

Petro asingeweza kiongozi wa kanisa kama angeendelea kuwa simon 

IBRAHIM asingekuwa Baba wa mataifa kama angeendelea kuitwa ABRAM 

ISRAEL asingekuwa Baba wa Israel kama angeendelea kuitwa Yakobo 

NABALI alikuwa na mali lkn upumbavu haukumtoka Kwa Kwasababu Jina lake lilimaaisha UPUMBAVU 

YABESI ilimaanisha HUZUNI na hata baada ya kuwa na mafanikio kulijo ndugu zake bado aliishi ktk huzuni mpaka pale alipomlingana Bwana na kumfungua kutoka kwenye Jina lake 

Wazazi ni vyema wakajua kuwa majina hayapatikani kwasababu wamepitia hali mbaya 

Usimuite mtoto TABU kwasababu umeteseka kipindi cha ujauzito hakika utaandaa TABU kwenye maisha yake, ni kifungo cha Siri 

KUSUDI LAKO LIMEFUNGAMANISHWA NA JINA LAKO NA KILA MTU ANA JINA KABLA HAJAZALIWA (SOMA Yeremia 1:5)

usidharau Jina lako 

Hakikisha una fahamu kwanini uliitwa hivyo na Maana yake 

Semina kuhusu SIRI YA JINA LAKO inaendelea kwenye Whatsapp group 

Link in BIO 

#siriYaJinalako #semina #bibliatimes

Post a Comment

Previous Post Next Post